Ni filamu iliyoandaliwa na kampuni ya Blackhouse media chini ya :- Director: faraji kakingo
Cameraman: prince hekela Ni filamu ya kitanzania iliyohusisha wasanii mbalimbali wa mkoa wa mbeya kutoka wilaya ya Mbarali mbeya pamoja na wasanii kama
#Issa ngoda
#Moureen given
#mzee kapalata wa TMT
#faraji kakingo
Mwisho wa mwezi huu itakuwa mtaani kwako

