-->

Hadithi Za Kumekucha Tunu

Hadithi Za Kumekucha Tunu

Hadithi Za Kumekucha TUNU kutoka kwa waandaaji wa Siri ya Mtungu Tamthilia iliyowahi kutikisa viunga vya tanzania wataanza kuonyesha filamu yao mpya kwenye jumba la maonyesho Mlimani City

Steps Entertainment ambao wanakisiwa kuwa wamiliki wa kazi hiyo iliyomshirikisha staa anaeonekana kwa nadra sana sokoni JB na baadhi ya wasanii wapya kama walivyoonekana kwenye kava la filamu wameandika kwenye ukurasa wao wa instagramu kuwa kazi hiyo itaanza kuonekana rasmi siku ya tarehe 19 mwezi huu siku ya ijumaa

Steps wameandika "If you missed our launch of TUNU please note that the film will start screenings at Cinemax Cinema Mlimani City this Friday the 19th of may ,there will be 5 daily screenings at 12,2,4,6, and 8 pm,Entrance is at discounted price of Tsh 8000 during the weekend (Friday and Sunday) and Tsh 5000 during the week (Monday to Thursday)"

 
Back To Top