-->

WEMA SEPETU: "Kiba na Diamond ni wendawazimu, wananiudhi"

WEMA SEPETU: "Kiba na Diamond ni wendawazimu, wananiudhi"

STAA wa filamu za kitanzania Wema Abraham Sepetu ameeleza hisia zake juu ya kinachoendelea juu ya wasanii wa kizazi kipya Diamond Platnum na Ally kiba kwa kuwaita wendawazimu


amesema hayo baada ya kuzindua kazi yake  aliyoizindua mwishoni mwa wiki iliyopita

wema amesema "diaomond na kiba ni wendawazimu kiukweli mi wanananiudhi sana nachukia vile wanakua na bifu  kiukweli mi namsapoti Kiba na napenda nyimbo za Diamond sipendi kuwaona wakiwa wanakwaruzana hivi wananiudhi tu, wakue kidogo na ommy apewe counsel"

Bado kuna msuguwano baina ya pande mbili Wcb na Team Kiba ambapo mpaka naandika  habari hii seduce ya Alikiba imefikisha viwers zaidi ya milioni mbili kwa muda wa siku tatu wakati Wcb na wimbo wao wa zilipendwa wakiwa na viwers Milion moja point nne huku zikipishana kwa masaa machache tangu zilivotoka
 
Back To Top