MREMBO kiwanda cha Filamu Tanzania Bongo Movies Jacline Wolper amefunguka juu ya shutuma anazoshutumiwa juu ya kutoa harufu katika nyeti zake.
siku chache zilizopita mwanadada matanzania anae ishi ughaibuni maarufu kama Mange Kimambi aliandika kwenye ukurasa wake wa instagramu kumtuhumu wolper kutoa harufu sehemu nyeti swala lililo changia wolper kuachana na aliyekua mpenzi wake kutoka Wcb Harmonize.
kufwatia post wolper hakufunguka chochote mpaka hivi leo kupitia Kikaangoni ya east Africa television Baada ya kukaangwa swali Wolper alijibu
"unapomfanyia mtu jambo au kitu afu kile kitu kikadumu kwa vizazi na vizazi hata kama wewe ulishafariki huwezi jua vile vizazi vitaishije kuna watu wana hasira wanaweza kuja kulipiza visasi" alisema wolper
wolper oia aliwakumbusha wasanii wenzake juu ya aina ya mavazi wanayovaa wakiwa katika maisha ya kawaida yaendane na mazingira.
sorce east africa Television

