-->

Hati/Haki Miliki Hazipo Mikononi Mwetu RIYAMA"

Hati/Haki Miliki Hazipo Mikononi Mwetu RIYAMA"

MSANII mkongwe kwenye tasnia ya Filamu Tanzania Riyama Ally amesema wasanii waache kupiga kele zisizo na maana na badala yake waipigie kelele haki/hati miliki zao

ameyasema hayo katika mahojiano maalamu na kituo cha runinga cha east africa katika tv kipindi cha friday night live mwishoni mwa wiki iliyopita

Riyama amesema "tuachane na kelele zisizo na maana tupige kelee haki zetu hasa haki/hati maliki hazipo mikononi mwetu wasanii na sio kupiga kelele"

kauli hiyo ya mwanadada huyo makinifu akiwa kazini inakuja siku chache baada ya wasanii kutoka kiwanda cha filamu Tanzania maarufu kama Bongo movies kuandamana kupinga uuzwaji holela wa kazi kutoka nje.

"tufanye kazi zenye ubora, tutumie mandhari na mavazi vizuri ,maelewano,ushirikianio, busara na hekma vitarudisha hadhi yetu na si bora kazi na kushinikizwa kufanya vitu

 
Back To Top