-->

Nimemsamee Baraka Da Prince Tuanze Maisha Mapya

Nimemsamee Baraka Da Prince Tuanze Maisha Mapya

STAA asie ishiwa vituko kwenye kiwanda cha Filamu Tanzania Bongo movie Salma Jabu Nisha ameibuka na kusema hana kinyongo na msanii ambae pia ni ex boyfriend wake Baraka Da Prince

Nisha amesema hayo kupitia kipindi cha E newz cha East Afrika Television kinacholuka kila siku ya juma

"nataka niunza mwezi wa Ramadhani vizuri bila kinyongo chochote hivo kwa wote walonikosea na nimewasamehe hata yule aliyekua boyfriend kwangu na akaniumiza kwa kiasi kikubwa mpaka kupeleke kutosikiliza hata nyimbo zake ajue sasa nimemsamehe na nasikiliza nyimbo zake nimekua namba one fansi wake "

Mwandishi aliyekuwa akifanya mahojiano alitumia mbinu ya kiuaandioshi kumfanya mwanadada huyo kumtaja jina lake msanii huyo mpka alipojikuta akilitaji jina la msanii huyo richa ya kulificha ficha

"Sio Baraka tu watu wote walionikosea nimewasamehe"

Pia Nisha ameongeza kuwa hatorudia tena kusema uongo sio kwenye mwezi huu mtukufu bali kwenye maisha yake ya kawaida yakila siku ukiachiria mbali maisha yake ya filamu.

ikumbukwe malkia huyo wa bongo movie aliwahi kudanganya kua ameingiliwa kwa nguvu na mpenzi wake wazamani na kupelekea kupata ujauzito ,ujauzito uliokuwa feki

 
Back To Top