-->

MALAIKA

MALAIKA

MPIGA picha na muandaaji wa Filamu Tanzania kutoka kiwanda cha White Elephant Ommie Eid Banzy kinachomilikiwa na nguli wa Filamu Nchini Mussa Banzi ametangaza rasmi siku ya kutoka kwa filamu mpya inayoitwa Malaika Banzi ambae pia ni mdogo wake mussa banzi ametangaza kupitia ukurasa wake wa Facebook ujio wa kazi mpya kutoka kampuni ya Flashlight Film Lab ambayo ndio waandaaji wa kazi hiyo ya Mlaika Banzi amewataka wapenzi wa Filamu za kitanzania kuipokea kwa mikono miwili na ametoa nafasi ya kuiwekea oda filamu hiyo kupitia namba ya simu kwa watakao hitaji filamu hiyo pindi itakapotoka "Habari napenda kuwapa taarifa kua Jumaa 3 ya tarehe 15/5/2017 panapo majaaliwa ya mungu bac Flashlight Film Lab itaingiza mtaani kazi mpya inayoitwa Malaika. Kwa yoyote atakaye itaji copy bac tuwasiliane kwa namba 0653156713.Tunaomba sapot yako #NYUMBANIKWANZA" ameandika Banzi
 
Back To Top