-->

Marehemu Difenda Kuonekana Kwenye Birika

Marehemu Difenda Kuonekana Kwenye Birika

Comedian maarufu kuwahi kutokea kwenye kiwanda cha filamu Tanzania marehemu Difender kuonekana ndani ya birika kuanzia tarehe 10 mwezi huu.

filamu hiyo iliyoandaliwa na kampuni ya ACTIVE_MEDIA ikishirikina na #YUNEDA_ENTERTAINMENT itaingia mtaani tarehe 10 mwezi huu ambapo marehemu defender ataonekana kwenye filamu hiyo akishirikiana na nguli wengine katika fani hiyo kama Ringo,Zimwi na Kipupwe

"Ndg zangu ntumie nafasi hii kuomba support yenu kuanzia tarehe 10/06/2017 #BIRIKA itakuwa sokon usije ukakosa nakala yko kwa bei nafuu sana kutoka katika kampun yako pendwa si nyingine ni #ACTIVE_MEDIA ikishirikina na #YUNEDA_ENTERTAINMENT ndio wanatarajia kukuletea Film hyo inayo tambulika kama BIRIKA" kupitia ukurasa wa facebook ameandika muaandaaji wa filamu Tanzania Director Hammady

 
Back To Top